1 Oct 2026 10:14 am | Citizen TV 828 views Duration: 1:45 Wanafunzi na walimu wa shule ya walemavu wa kusikia ya St. Kizito huko Litein, Kaunti ya Kericho, wametembea kwa umbali wa kilomita nane kuadhimisha Siku ya Uhamasishaji kuhusu ulemavu huo.