Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi tisa kufunguliwa mashtaka ya mauaji katika kesi ya moto Gilgil

  • | Citizen TV
    1,413 views
    Duration: 1:14
    Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma Renson Ingonga ameafikia kuwafungulia mashtaka ya mauaji wanafunzi tisa wanaohusishwa na mkasa wa moto katika shule ya wasichana ya utumishi, Academy, Gilgil.