- 446 viewsDuration: 3:42Wanafunzi kutoka familia zisizojiweza kutoka shule za msingi, zile za sekondari pamoja na shule za watoto wenye mahitaji maalum kaunti ya Busia wamehusishwa katika mradi wa upanzi wa miche ili kuwasaidia kulipa gharama za shule. Wanafunzi hao kutoka jumla ya shule 200 eneobunge la Teso Kusini wamefunzwa jinsi ya kupanda na kukuza miche haswa ya miti ya matunda na ile ya asili.