2 Apr 2026 1:27 pm | Citizen TV 483 views Duration: 2:31 Wanafunzi wa chulo kikuu cha Tom Mboya mjini Homa bay wamejitokeza kuendeleza ujumbe wa amani na utangamano miongoni mwa jamii hasa wakati huu ambapo joto la siasa linazidi kupanda.