Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa shule ya msingi ya AIC Laboret kunufaika na mradi wa elimu ya kidijitali

  • | Citizen TV
    356 views
    Duration: 1:52
    Wanafunzi wa shule ya msingi ya AIC laboret katika eneo bunge la mosop, kaunti ya nandi, wanatarajiwa kunufaika na uboreshaji wa masomo ya kidijitali baada ya uzinduzi wa mradi wa teknolojia ya mawasiliano ya habari wa thamani ya shilingi milioni 1.5.