Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa St. Paul’s Miluki Walazimika Kusomea Chini ya Miti

  • | Citizen TV
    371 views
    Duration: 1:46
    Baadhi ya wanafunzi wa shule ya upili ya wasichana ya St. Paul's Miluki Girls High School katika eneo la Bumula, kaunti ya Bungoma County, wamelazimika kusomea chini ya miti kutokana na ubovu wa miundombinu shuleni humo