Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa zamani wa Maseno School waanzisha mpango wa ujenzi upya wa shule hiyo

  • | Citizen TV
    299 views
    Duration: 1:53
    Wanafunzi wa zamani wa Shule ya Upili ya Maseno School sasa wanaelekeza juhudi zao katika mpango wa shilingi bilioni mbili wa kujenga upya shule hiyo yenye historia ya miaka 120. Mpango huo unatarajiwa kupewa uzito mkubwa wakati wa maadhimisho ya miaka 120 ya shule hiyo yatakayofanyika kesho. Kulingana na wanafunzi wa zamani, idadi ya wanafunzi imeongezeka maradufu huku miundo msingi ikisalia ile ile.