Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wafurika katika shule tofauti wakitaka usajili

  • | Citizen TV
    600 views
    Duration: 2:07
    Idadi kubwa ya wazazi wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na gredi ya 10 wanaendelea kumiminika katika shule mbalimbali hasa shule za kitaifa kutafuta nafasi za usajili Kwa watoto wao kufuatia agizo lililotolewa na wizara ya elimu.