- 2,642 viewsDuration: 2:02Wanafunzi wanane wanaotuhumiwa kwa kusababisha moto uliokatiza maisha ya wanafunzi 16 katika bweni la shule ya wasichana ya Utumishi huko Gilgil wazuiliwa katika vituo mbali mbali vya polisi katika kaunti ya Nakuru, wakisubiri kufikishwa mahakamani. Aidha kufikia sasa, watu 60 wamehojiwa kuhusiana na kisa hicho huku ikibainika kuwa baadhi ya wanafunzi walifariki kw akushindwa kupumua huku wengine wakiteketea kabisa