- 1,316 viewsDuration: 2:39Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya wasichana ya Utumishi Girls Academy huko Gilgil wamerejea shuleni baada ya kufungwa kufuatia mkasa wa moto uliowateketeza wanafunzi 16. Wanafunzi hao 151 pamoja na wazazi wao wamepewa ushauri nasaha walipowasili shuleni huku wasimamisi wa shule wakitoa mikakati mipana ya usalama