Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi watuzwa kwa kuhifadhi mbuga ya Tsavo

  • | Citizen TV
    175 views
    Duration: 2:09
    Washikadau wa mazingira kutoka kaunti zinazopakana na mbuga ya Tsavo wamesema kwamba wataendelea na juhudi za kulinda mazingira ili kupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza katika mkutano wa kuwatuza wanafunzi ambao wanajihusisha na kutafuta suluhu ya matatizo ya mazingira, wadau hao wanapendekeza kuhusishwa kwa wanafunzi zaidi katika uhifadhi wa mbuga.