8 Jul 2026 10:15 am | Citizen TV 226 views Duration: 1:41 Wauguzi 47 waliohitimu katika chuo kikuu cha Kibabii kaunti ya Bungoma, wasikitishwa na kukosa majina yao kwenye sajili ya uanagenzi katika Baraza la Wauguzi la Kenya NCK.