Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wawili wafariki baada ya jengo kuanguka Kayole

  • | KTN News
    2,969 views
    Duration: 2:56
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – Wanafunzi wawili wa shule ya Emmanuel New Life Academy wamefariki dunia huku wengine wawili wakijeruhiwa vibaya baada ya kuangukiwa na mawe kutoka kwa jengo jirani. Tukio hilo lilitokea walipokuwa wakijiandaa kuchukua chakula cha mchana leo. Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Kenyatta kwa matibabu, huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha ajali hiyo na iwapo kulikuwa na uzembe katika ujenzi wa jengo hilor. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews