Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wengi wakosa elimu ya teknolojia Busia

  • | Citizen TV
    351 views
    Duration: 3:58
    Huku shule za sekondari nchini zikijitahidi kuimarisha miundomsingi ya teknolojia ikiwemo ujenzi wa maabara za kisasa za kompyuta, wazazi katika kaunti ya Busia watakiwa kupiga jeki juhudi hizo nyanjani kwa kuwawezesha wanafunzi kuendeleza masomo hayo kwa rununu..