Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wengi wakosa malazi katika Chuo Kikuu cha Turkana

  • | Citizen TV
    2,090 views
    Duration: 3:43
    Chuo kikuu cha Turkana mjini Lodwar kimevunja rekodi kwa kusajili wanafunzi wa mwaka wa kwanza zaidi ya elfu tatu ,idadi kubwa ambayo imeanza kuleta msongamano na changamoto upande wa wanafunzi kupata vyumba vya malazi. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel, mkuu wa chuo hicho Prof George Cheminingwa ametaka wafanyabiashara wajitahidi kuwekeza kwa vyumba vya malazi karibu na chuo hicho .