Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi zaidi ya 270,000 wafuzu kujiunga na vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    582 views
    Duration: 1:48
    Wanafunzi 270 , 608 wamehitimu kujiunga na vyuo vikuu. Hayo ni kwa mujibu wa baraza la kuwachagua wanafunzi watakaojiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu ambalo limetoa matokeo ya mwaka wa 2026/2027 hapa jijini nairobi. Aidha, wanafunzi 6, 500 walituma maombi ya kufanya kozi za udaktari huku vyuo vikuu vikiwa na nafasi 702 pekee.