Skip to main content
Skip to main content

Wanahabari kaunti ya Kisii washerehekea siku ya uhuru wa wanahabari duniani

  • | Citizen TV
    248 views
    Duration: 4:59
    Waandishi wa habari kutoka eneo la Gusii kwa sasa wanaendelea na msafara wa amani katikati mwa mji wa Kisii kuadhimisha siku ya uhuru wa wanahabari duniani. Maadhimisho hayo pia yakitumika kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa wanahabari hususan wakati taifa linaelekea katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027.