- 352 viewsDuration: 8:06Muungano wa waandishi wa habari pwani chini ya mwavuli wa Coast Media FC, unaandaa maandamano ya amani kuadhimisha siku ya uhuru wa wanahabari duniani. Maadhimisho hayo pia yanashirikisha zoezi la kupanda miti pamoja ushauri wa kitaaluma kwa wanafunzi wa shule ya Mombasa Baptist. Francis Mtalaki anaungana nasi mbashara kutoka Mombasa.