3 Sep 2026 10:11 am | Citizen TV 727 views Duration: 1:38 Waandishi w ahabari wa kaunti ya meru walifanya maandamano kulalamikia kudhulumiwa kwa mwanahabari wa kituo cha televisheni cha K24 Nelson Mutwiri na waziri wa utumishi wa umma wa kaunti hiyo Nturibi Etirikia.