Skip to main content
Skip to main content

Wanahabari washirikishwa kuhifadhi mazingira pwani

  • | Citizen TV
    102 views
    Duration: 1:41
    Wanahabari kutoka ukanda wa pwani wanashirikishwa kuhifadhi mazingira ya baharini kwenye hafla iliyoandaliwa katika eneo la kuruwitu Kaunti ya Kilifi. Kulingana nao, warsha hiyo itawapa wanahabari ufahamu wa kuandaa taarifa kuhusu mazingira ya baharini kwa minajili ya kuyahifadhi na kutunza viumbe wa majini.