- 6,506 viewsDuration: 3:05Wanaharakati 12 wakiwemo raia wanne wa kigeni wamekamatwa jijini Nairobi baada ya polisi kutawanya maandamano dhidi ya kongamano la Africa Forward lililokamilika leo. Wanaharakati hao waliandamana wakipinga uhusiano kati ya Kenya na Ufaransa wakidai mkataba wa ushirikiano unalenga kuifaidisha Ufaransa na kuwanyanyasa Wakenya.