Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati Garissa wataka sheria dhidi ya dhulma za kijinsia

  • | Citizen TV
    144 views
    Duration: 2:01
    Wanaharakati wa kupambana na visa vya ukeketaji katika kaunti ya Garissa sasa wanataka bunge la kaunti hiyo kupitisha sheria inayotoa mwongozo kuhusu dhulma za jinsia ili kupunguza visa hivyo.