Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati Lamu wataka haki za wakazi waathiriwa na mradi wa kiwanda

  • | Citizen TV
    151 views
    Duration: 2:01
    Muungano wa wanaharakati kisiwani Lamu umetaka serikali kuhakikisha wakazi wanaoathiriwa na mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta wanalindwa dhidi ya kunyanyaswa na wanapewa haki zao.