3 Jun 2026 1:09 pm | Citizen TV 384 views Duration: 2:39 Mamia ya wanaharakati na wananchi wameandamana katikati ya mji wa Lodwar katika Kaunti ya Turkana kupinga mauaji ya wanawake, dhulma za kijinsia na visa vya utekaji nyara wa watoto.