Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati Pwani wawataka wakenya kupigania uwajibikaji kuhusu wabunge kulipwa kumbandua Gachagua

  • | NTV Video
    289 views
    Duration: 1:20
    Wakereketwa wa haki za kibinadam kutoka pwani wamewataka wakenya kuchukua hatua ya kupigania uwajibikaji, kuhusu madai ya wabunge kupokea rushwa kutoka ikulu ya rais ili kumbandua Rigathi Gachagua kutoka mamlakani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya