Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati sita wakamatwa katika maandamano ya kumtaka Kanja ajiuzulu

  • | Citizen TV
    9,553 views
    Duration: 1:28
    Wanaharakati sita wamekamatwa baada ya kufanya maandamano nje ya ofisi ya inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja wakimtaka ajiuzulu kwa kukosa kudhibiti wahuni, kuzuia visa vya utekaji nyara na visa vya mauaji korokoroni.