2 Jun 2026 1:14 pm | Citizen TV 1,391 views Duration: 1:32 Wanaharakati wa Amka Changamka wamefanya maandamano jijini Nairobi kupinga mpango wa kuanzishwa kwa kituo cha karantini na matibabu ya Ebola katika Kituo cha Jeshi la Anga la Laikipia..