Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wasisitiza maandamano ya Juni 25 yataendelea

  • | Citizen TV
    2,377 views
    Duration: 3:03
    Wanaharakati nchini nao wanasema maandamano ya kuwakumbuka waathiriwa wa maandamano ya Gen Z ya Juni 25 mwaka jana na mwaka 2024 yataendelea. Hata hivyo, wanaharakati hao wameonya serikali dhidi ya kile wanachosema ni kuagiza makundi ya wahuni kuvuruga amani ya maandamano ya Alhamisi. Serikali hata hivyo imeendelea kusisitiza kuwa hakuna maandamano yoyote yatakayoruhusiwa.