Skip to main content
Skip to main content

Wanajeshi wachukua madaraka Madagascar, Rais Rajoelina akihepa.

  • | BBC Swahili
    9,509 views
    Duration: 5:21
    Mahakama ya kikatiba nchini Madagascar imethibitisha kuwa kanali Michael Randrianirina amechukuwa hatamu ya uongozi wa nchi hiyo. Mahakama hiyo pia imethibitisha kwamba nafasi ya rais wa taifa hilo na rais wa bunge la seneti sasa ziko wazi. Mahakama ilichukua uamuzi huo licha ya kuwa jeshi limesitisha shughuli zake. #dirayaduniatv