Skip to main content
Skip to main content

Wanajopo la kuongoza mchakato wa fidia waapishwa

  • | Citizen TV
    347 views
    Duration: 6:40
    Jopo la wataalamu wataoongoza mchakato wa kuwalipa fidia waathiriwa wa maandamano linaapishwa leo katika mahakama ya juu. Baadaye jopo hilo linaloongozwa na mshauri wa Rais Profesa Makau Mutua litafanya kikao cha kwanza katika Jumba la KICC.