Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa Kenya Kwanza kaunti ya Trans Nzoia wataka viongozi kuchaguliwa kwa kuzingatia utendakazi

  • | Citizen TV
    345 views
    Duration: 1:11
    Baadhi ya wanasiasa wa Kenya Kwanza katika Kaunti ya Trans Nzoia wamewataka wakazi kutumia vigezo vya utendakazi kuwachagua viongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wanasema Kenya imekuwa ikisalia nyuma kimaendeleo kutokana na kile wanachotaja kuwa ni utovu wa utendakazi miongoni mwa baadhi ya viongozi.