14 Sep 2026 10:49 am | Citizen TV 663 views Duration: 1:36 Viongozi wanaoegemea mrengo wa serikali kaunti ya Makueni wameendeleza mikutano ya kumtafutia umaarufu rais Wiliam Ruto kwenye kaunti hiyo wakitumia mikutano hiyo kulaani siasa za uhuuni zinazoendelea kushuhudiwa nchini.