- 4,824 viewsDuration: 2:36Kinyang’anyiro cha kutafuta kiti cha ugavana wa kaunti ya Nairobi kimeonekana kushika kasi, huku wanasiasa saba tayari wakitangaza azma ya kuwania wadhifa huo. Wa punde zaidi kutangaza kujiunga na kinyang’anyiro hicho ni Mbunge wa zamani wa Starehe, Askofu Margaret Wanjiru. Ben Kirui anaarifu, akiangazia waliotangaza hamu ya kuwa gavana wa jiji kuu la Kenya.