Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa wa upinzani wameendelea kukosoa bei za mafuta

  • | Citizen TV
    2,480 views
    Duration: 2:35
    Viongozi wa Upinzani wameunga mkono mgomo huo wa magari ya uchukuzi. Viongozi hao Kalonzo Musyoka wa Wiper na Fred Matiang'i wa Jubilee wakitoa kauli zao tofauti wameendelea kuilaumu serikali kwa kupuuza kilio cha wakenya kuhusu gharama ya juu ya maisha.