- 93 viewsDuration: 2:54Baraza la Muungano wa Kidini nchini (IRCK), tawi la Kilifi, limewataka viongozi wa kisiasa kujiepusha na matamshi ya uchochezi yanayoweza kusababisha vurugu kabla na baada ya uchaguzi mkuu. Viongozi hao pia wamewahimiza vijana kutokubali kutumiwa kisiasa na badala yake kusimamia amani nchini.