Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Githunguri, Kiambu walalamikia maafa ya pombe haramu

  • | KBC Video
    102 views
    Duration: 50s
    Wanawake kutoka kijiji cha Miguta katika eneo bunge la Githunguri waliandamana kulalamikia ongezeko la uuzaji na utummizi wa pombe haramu na mihadarati katika eneo hilo. Walielezea wasiwasi kwamba ubugiaji pombe haramu umeharibu familia na kusababisha maafa, hasa miongoni mwa wanaume na vijana. Walitaka uchunguzi wa haraka kuthibitisha viwango vya pombe inayouzwa kwenye vilabu vya eneo hilo, wakihofia kwamba baadhi ya bidhaa hizo huenda zikahatarisha maisha. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive