Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Kiambu waibua faida kupitia kilimo cha kisasa

  • | Citizen TV
    804 views
    Duration: 3:29
    Kadri ardhi inavyozidi kupungua katika maeneo ya miji na viunga vyake, ndivyo baadhi ya wakulima wanastawisha kilimo biashara kwa kutumia ardhi kidogo waliyo nayo. Katika Kaunti ya Kiambu, baadhi ya wanawake wametumia kipande kidogo cha ardhi kustawisha biashara zenye faida kupitia kilimo cha njugu na viazi. Wanawake hao wanaongeza thamani ya mazao yao na kujiongezea mapato kwa kupanua soko la bidhaa zao.