Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Narok waungana kupinga ukeketaji

  • | Citizen TV
    202 views
    Duration: 4:59
    Wanawake walioathirika na ukatili wa ukeketaji kaunti ya Narok wameungana ili kupambana na jinamizi hilo. Wanawake hao wameunda kikundi kinachowapa ushauri nasaha na mafunzo ya kujiendeleza kichumi ili kuwawezesha kujiinua na kuwaokoa wasichana walioko kwenye hatari ya ukeketaji katika maeneo yao.