Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Samburu waongeza thamani ya mifugo kupitia mradi wa biashara yenye faida

  • | Citizen TV
    1,545 views
    Duration: 4:20
    Wanawake katika kaunti ya samburu wameanza kuongeza thamani ya mifugo wao kupitia mradi wa kitaifa wa biashara yenye faida . wanawake hao wanajifunza mbinu endelevu za kugeuza mifugo kuwa kitega uchumi cha kutegemewa , kuboresha lishe kwa familia zao na virutubishi.