- 292 viewsDuration: 3:25Wanawake katika maeneo ya Vanga na Jimbo katika Kaunti ya Kwale wanatumia kilimo cha mwani na urejeshaji wa mikoko si tu kama njia ya kujikimu kimaisha bali pia kama mchango muhimu katika kulinda mazingira ya bahari dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi.