Skip to main content
Skip to main content

Wanawake wa Samburu wachukua hatua mpya katika juhudi za amani

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 3:03
    Baada ya juhudi za muda mrefu za wazee kutoka jamii za wafugaji kwenye kaunti ya samburu kuendeleza mchakato wa kutafuta amani kuonekana kugonga mwamba,akina mama kutoka kutoka jamii hizo wameelezea kutamaushwa na mauaji ya kila mara na visa vya wizi wa mifugo,na kuzamia mchakato wa kutafuta amani ya kudumu.