Skip to main content
Skip to main content

Wanawake wahimizwa kujitokeza katika nafasi za uongozi

  • | Citizen TV
    272 views
    Duration: 1:53
    Wanawake wamehimizwa kujitokeza na kuwania nafasi za uongozi ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikichukuliwa kuwa za wanaume. Wadau wanasema ushiriki mkubwa wa wanawake katika uongozi utachangia usawa wa kijinsia, kuboresha uwakilishi na kuimarisha maamuzi yanayolenga maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.