24 Jul 2026 1:33 pm | Citizen TV 711 views Duration: 3:44 Licha ya shughuli za uvuvi na ufugaji wa samaki kuhusishwa na wanaume kwa muda mrefu, akina mama katika eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia wajitosa katika biashara hiyo ziwani Viktoria.