- 284 viewsDuration: 3:10Makundi ya akina mama katika eneo la kisima Samburu magharibi, yapigwa jeki kwa kupewa mahema na viti vya kukodisha kutoka hazina ya NGAF, ili kuongeza mapato yao. Akina mama hao waelezea kusakamwa na mawimbi mazito ya mila pamoja na gharama ya maisha.