- 3,165 viewsDuration: 3:48Waziri wa Nishati, Opiyo Wandayi, amesema mabadiliko ya bei ya kawi (mafuta) nchini yamechangiwa na kupanda kwa gharama za mafuta katika soko la kimataifa, gharama za usafirishaji pamoja na shinikizo la kiwango cha ubadilishaji fedha