13 Aug 2026 1:31 pm | Citizen TV 275 views Duration: 1:42 Katibu wa idara ya jinsia na usawa, Ann Wang'ombe, amewaonya wakulima na wafanyabiashara dhidi ya kuuza vyakula vilivyokuzwa kwa kutumia kemikali hatari, akisema kemikali hizo zimechangia ongezeko la ugonjwa wa saratani.