Skip to main content
Skip to main content

Wanjigi apinga mkopo wa trilioni 1.1 wa serikali

  • | Citizen TV
    553 views
    Duration: 1:27
    Kinara wa Chama cha Safina Party, Jimi Wanjigi, amepinga mpango wa serikali wa kukopa shilingi trilioni 1.1 katika mwaka wa kifedha unaoanza tarehe mosi Julai, akisema mkopo huo si halali kisheria. Wanjigi, aliyezungumza katika afisi za chama chake leo, pia amewataka wabunge na Wakenya kusimama kidete kupinga mswada wa fedha wa 2026 unaotarajiwa bungeni wiki ijayo.