Skip to main content
Skip to main content

Wanjira Mathai atunukiwa nishani ya heshima ya ufaransa

  • | Citizen TV
    340 views
    Duration: 1:25
    Wanjira Mathai, binti wa marehemu Wangari Maathai, ametunukiwa tuzo ya National Order of Merit na taifa la France kwa kutambua mchango wake katika uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu.