Skip to main content
Skip to main content

Wanne waliokamatwa wakati wa maandamano ya Saba Saba waachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    1,719 views
    Duration: 55s
    Wanaume wanne waliokamatwa wakati wa maandamano ya Saba Saba jana wameachiliwa kwa dhamana ya pesa taslimu ya shilingi 2,000 kila mmoja.Mahakama ilitoa uamuzi huo huku kesi dhidi yao ikiendelea, na watuhumiwa wanatarajiwa kufika tena mahakamani kwa hatua zaidi za kisheria.