- 9,149 viewsDuration: 2:46Maafisa wa polisi Kaunti ya Mombasa wanawazuilia watu wanne huku wakichunguza uwezekano wa dini potovu katika mtaa wa Chaani. Watu hao wanne, akiwemo mtoto, walikamatwa wakiendesha vitendo visivyo vya kawaida nyumbani mwao na hata kwenye barabara za mtaa huo. Na kama Francis Mtalaki anavyoarifu, wakazi wanataka polisi kuchukua hatua kuzima uwezekano wa dini za kupotosha.